Anafira sana vijana na wake za watu halafu anajifanya mtumish wa mungu, wakati ni mzinzi , anajifanya anahukumu watu yeye mungu? Watu wakianika yake atafurahi? Ms*ng* sana huyu
Kama wameweza kuweka picha uyu jamaa jina la kigogo wameshindwa nini?habari ikiwa source yake haya magazeti ya kufungia vitumbua ni utoto siku nikukuta kwangu kuna kipande cha udaku huu alieleta gazeti atachezea BAN.
Sexual abuse, wamemzalilisha sana huyu dogo!!
Sexual abuse, wamemzalilisha sana huyu dogo!!
huyo shiwanzuki ana upendeleo y asiweke picha ya kigogo kwan huyo jumbe haitaji kupewa heshima mtaje huyo kigogo au umetunga tu hii story
Kiongozi yoyote hawezi risk ushoga wake through FB....
haingii akilini
Wamesema msafara wake unaongozwa na ving'ora na pikipiki za Polisi, tuanzie hapo kwanza!!Stop meandering basi...JINA ndo lamsingi hapo ,stori ndefuuu af hakuna kitu
Umeona eeh? Halafu mtu mkubwa serikalini.. ila haya mambo na yenyewe mmh
Hatariii... huyo kijana nae ana moyo au hyo picha sio yake? Anajitafutia mabalaa buree..Anataka mtoto wa naniii!!Naima vipi ashaachwaa!!
Halaf huyu shigongo na team zake sijui fichua maovu, ipo siku ita mcost kuna team inaundwa kwa ajili ya kumkomesha, mbona na yeye ni firauni tu, na yule Malaya mwenzie aliyempangia Sinza makaburin chum a cha elfu arobain tunamjua ***** zake , anajifanya anafichua maovu mbona yake hafichui
Hatariii... huyo kijana nae ana moyo au hyo picha sio yake? Anajitafutia mabalaa buree..