SOLOGWIGABA
Member
- Aug 9, 2011
- 22
- 0
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikiria Afisa utumishi wa chuo kikuu cha Dodoma@UDOM, P.LIPILI kwa tuhuma ya kupatikana na madawa yadhaniwayo kuwa ya kulevyo.Chanzo cha habari hii kimeeleza kuwa Afisa huyo alikamatwa jana tarehe 27.08.2001 majira usiku wa manane akiwa na pipi zidhaniwazo kuwa madawa ya kulevyo.Tutaendelea kufahamishana maendeleo ya mkasa huu.