Kigogo wa kike aliyelipa m 7 kufanyiwa shoo peke yake

Nna wasiwasi, huyo kigogo huenda ni njemba; sipati picha na mauno ya huyu dogo!
 
hivi bob junia ni mwanamke au mwanaume.
POPOBAWA.
 
i bet my money its bi kiroboto wallahi!!! lmbao:juggle:
 
Hiyo show ni ya namna gani? Hawa ndio vijana wanaolelewa na majimama..sasa show ya wao wawili ina maana gani? Yani hapo ni utata mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…