Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Wapi serikali ipi yenye makali hayo??? SAHAU!Huo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe
Ni kawaida yao jamani, acheni wale jamani na kipindi hiki cha pili cha mkulu bado wamo watakula tena.
Hatuna kitu kama hicho kwetuHuo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe
Hatuna kitu kama hicho kwetu
Ni kawaida yao jamani, acheni wale jamani na kipindi hiki cha pili cha mkulu bado wamo watakula tena.
Ni kawaida yao jamani, acheni wale jamani na kipindi hiki cha pili cha mkulu bado wamo watakula tena.
AJIHUDHURU............!!!! WHY ................ Kwa TZ kujiuzuru ni mpaka uonewe wivu.......e.g UWAZIRI MKUU.............Huo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe