Kwanza umesikia huko!!??Mpira ni dakika 90 mkuu
2-3Injinia soma hapo ngapi
#Mwidiwe baba
Duuuuuh!!!
Ndio hvyo chief mpira wa miguu una matokeo ya kikatilDuuuuuh!!!
3-2 Simba nje😁😁😁Kichwa cha uzi chahusika. Mi naona Simba itaanza japo ndio timu yangu
Timu kutoka Kigoma!Mashujaa.
Timu kutoka Kigoma!
Kaduguda anatoka Kigoma!
Zitto anatoka Kigoma. Ngumu kuwafunga hao MashujaaTimu kutoka Kigoma!
Kaduguda anatoka Kigoma!
Simba kashaaga tayar leoKichwa cha uzi chahusika. Mi naona Simba itaanza japo ndio timu yangu
Mkuu kwani zito alikuwepo kweny huo mtanange??Zitto anatoka Kigoma. Ngumu kuwafunga hao Mashujaa
Kiongozi, punguza ukali wa maneno!Kikosi Kipana Kimepanuliwa
Bazazi
Si lazima awepo Mkuu. Mambo kwa remote controlMkuu kwani zito alikuwepo kweny huo mtanange??