Kigoma by Kigoma all stars from Tanzania

Guest from Wazua

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
212
Reaction score
95
My son made me listen to the two songs(kigoma and Nyumbani) by Kigoma all stars from Tanzania over the weekend. From then, I think I have listened to the song for over 20-30 times without getting bored.

I watched the video for Kigoma and was quite impressed;Now I'm thinking of visiting Kigoma before end of this year to see and find out why this part of TZ produces the best East African musician.
 
go sir not only muscians but also best footballers! Great politcians! And hard workers! Plus active religious leaders
 
when you are on your way there notify me so I can host you or make some arrangements for your comfort.
 
Man have listened to that song for months without getting bored. Wakati nilikua Dar ungedhani mimi mzawa wa Kigoma maana kila nikiingia klabu DJ walikua wananijua lazima wacheze huo mziki, nilikua naingia na mbwembwe. Jamaa walikua wananiiita rais wa Nairobi ila mzawa wa Kigoma. Yaani nimepanga nikipangua safari ya kwenda Kigoma kwa ajili ya huo wimbo tu.

Lakini kwa kweli wasanii wa kutoka huko ni shupavu sana, na ndio wamefanya mziki ufahamike Bongo. Asilia ya watu wa huko ni Burundi. Hata wanasiasa wao sio mchezo, akina Zitto Kabwe. halafu huyo Zitto anatafuta urais, wakampa Tanzania inaweza enda kwa kasi sana, nimemsikiliza sana yuko sawa jamaa.

Yaani Kigoma wamepatangaza hadi panatamanika kweli.

Last edited by a moderator:
You can also check out mwana by Ali Kiba he must be from there cos I loved the tune and even the video.
 
Kabla yakuanza safari uni pm nikakupokee pale ndi nyumban upate vitu vya kigoma
 
Ukiskiliza huo wimbo wanasema Dar wamekuja kutafuta lakini kamwe Kigoma hawataisahau.
What have they invested in Kigoma? Do they have homes there? Where they can go back to once in a while? Au ndio wamelowea Tandale?
 
What have they invested in Kigoma? Do they have homes there? Where they can go back to once in a while? Au ndio wamelowea Tandale?

Must you invest where you come from? Money is a scarce resource and people invest in places with the highest returns
 
Must you invest where you come from? Money is a scarce resource and people invest in places with the highest returns
Kwa hiyo wataienzi Kigoma kwa "kutoisahau". Nimesikia pia watu wengine wakishawishiwa wawekeze Kigoma……. oh I must be wrong! Sorry>
 
What have they invested in Kigoma? Do they have homes there? Where they can go back to once in a while? Au ndio wamelowea Tandale?

Kwa kuitangaza Kigoma tu tayari wamefanya mengi, sio lazima waje na kuwekeza.
 
What have they invested in Kigoma? Do they have homes there? Where they can go back to once in a while? Au ndio wamelowea Tandale?
Nafikiri wanafaa wafungue shule ya uimbaji kama walivyofanya wanariadha wetu kufungua training institute ya kimataifa pale Eldoret na Iten.
 
Nafikiri wanafaa wafungue shule ya uimbaji kama walivyofanya wanariadha wetu kufungua training institute ya kimataifa pale Eldoret na Iten.
Good idea. Wangefuata na nice FM radio ya kisasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…