Mwidiwe Wanachitchat!!!
Naomba wana Kigoma tukutane hapa!!!!! Ninajuwa Waha tupo wengi, na warundi pia tupo humuhumu kwani tumeoa au kuozwa kwa Nkurunzinza!!!! Nipo hapa Kasenyi, Burundi,!!!!
Pia unaweza kumtag Mkigoma yeyote au kutupa updates za waishio Huku KG!!!!!