Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Si ndio huko mpaka saivi mgombea kashashikwa na kura zilizopigwa, mnaambiwa muamini mawakala, watafanya kazi nzuri kama malaika!

Asema usipoelewa utaelimishwa, na ukielimishwa lakini bado hujaelewa utachukuliwa ukaelimishwe zaidi mbere kwa mbere

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, SACP Filemon Makungu amepiga kura asubuhi hii katika kituo cha kupigia kura kilichopo ofisi za kata ya Kigoma mjini mtaa wa Shede Manispaa ya Kigoma Ujiji.
Akizungumza mara baada ya kupiga kura RPC Makungu, amesema usalama umeimarishwa katika maeneo yote ya vituo vya kupigia kura huku akiwatahadharisha wale wote wenye nia ya kusababisha uvunjifu wa amani.