Kigoma kuna upungufu mkubwa sana wa wanaume, ni rahisi dada kuokota hela Kigoma kuliko kupata mchumba

Kigoma inawanawake ambao ni wavumilivu katika ndoa unaweza piga mwanamke na Bado baada ya dakika chache mkaongea vizuri .hii NI kutokana kwamba nimkoa ambao mzunguko wa pesa ni mdogo kwa hiyo si wanaume Wala wanawake huvumilia kipato walichonacho na ndiyo maana waendapo mikoani unaweza kukuta wanauza ulembo akajenga na kusomesha,na unaweza kuona anauza matunda kwenye matorori Bado maisha yake akayaona nimazuri tu, kwa ujumla mkoa wa kigoma ina watu wavumilivu katika maisha na siyo watu wakujionesha na kujidai kwa alichonacho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We fala una chuki na waha siyo kwa povu hilo.
Hakuna hata kimoja cha kweli ulichokiandika hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sahihi!
Note mambo yafuatayo:
1) Wengi wana watoto ila kwa macho utadhani ni bikra...
2) Usipokuwa makini, dakika chache hachelewi kukuambia kuwa ana mimba yako...😂
3)Issue ya usafi...kuna shida!
4)Baadhi wanaweza sana "shughuli", ingawa ni wachache sana!
5)Baadhi yao wanapenda sana masoko ya jioni, ikitokea na wako akawa kwenye hilo group, mzee baba jipe pole yako...
-Mengine niweke kapuni...

NB: -Baadhi ya tabia zilizopo KG hata mikoa mingine zipo...!!!
-Mi nipo kikazi maeneo hayo tangu 2013 lkn sijapata wazo la....
 
Ulakoze
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulakoze
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…