Papaa Mobimba JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 882 Reaction score 3,337 Nov 27, 2024 #1 Kigoma Kusini, Kata ya Itebula Katika Kijiji Cha Itebula, Kitongoji Cha Lugongoni B. Mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi ya Mwenyekiti Ndugu, Sebastian Kimeta ameondolea kwenye karatasi ya kupigia kura. Wananchi wanahitaji arudishwe Pia soma LIVE - LGE2024 - KIGOMA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Your browser is not able to display this video.
Kigoma Kusini, Kata ya Itebula Katika Kijiji Cha Itebula, Kitongoji Cha Lugongoni B. Mgombea wa ACT Wazalendo wa nafasi ya Mwenyekiti Ndugu, Sebastian Kimeta ameondolea kwenye karatasi ya kupigia kura. Wananchi wanahitaji arudishwe Pia soma LIVE - LGE2024 - KIGOMA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Your browser is not able to display this video.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Nov 27, 2024 #2 Wameshindwa kuweka pingamizi. Sasa wqnataka kumuondoa siku ya mwisho Ccm hii wanachotafuta watakipqta
Wameshindwa kuweka pingamizi. Sasa wqnataka kumuondoa siku ya mwisho Ccm hii wanachotafuta watakipqta