LGE2024 Kigoma: Makamu wa Rais Dkt. Mpango na mkewe kwenye foleni kupiga kura

LGE2024 Kigoma: Makamu wa Rais Dkt. Mpango na mkewe kwenye foleni kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye Mpango.

Soma pia: Dkt. Philip Mpango awahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Screenshot 2024-11-27 114827.png
 
Mkwewe??

Na kwenye kiini Cha habari ni mkewe mkuu kuwa serious bwana!

Naona wazee wa tiisi 😅hawapo mbali
 
Kupoteza kodi tu
Makamu wa Rais akitoka Dodoma mpaka Kigoma kwenda kupiga kura na kisha kurudi Dodoma au Dar ni zaidi ya milioni 100 zinatumika.
Huu ni ushenzi
 
kwahiyo hatupigi kura tena shule ya msingi bunge na olympio?
 
Back
Top Bottom