LGE2024 Kigoma: Mgombea adaiwa kukamatwa na kura feki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Your browser is not able to display this video.

Ingia hapa kupata matukio yote ya uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa:
Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B, kata ya Mwandiga mkoani Kigoma amekamatwa alfajiri ya leo akiwa na kura ambazo zimeonekana kuwa na muhuri wa Tume ya Uchaguzi.
 
Wakuu,

View attachment 3162937

Anayedaiwa kuwa mgombea katika kitongoji cha Mgera B, kata ya Mwandiga mkoani Kigoma amekamatwa alfajiri ya leo akiwa na kura ambazo zimeonekana kuwa na muhuri wa Tume ya Uchaguzi.​

Kuna chama kinaiba kura? Je,hicho chama kina uhai kweli? Mbona kinaogopa uchaguzi halali?
 
Watu wa kigoma ni watu wa tofauti sana, wana DNA za Kirundi kukuuwa ni dk0
 
Huyo ni mgombea CCM katika kitongoji cha mgera B mwandiga amekamatwa alfajili ya leo akiwa na kura ambazo zina muhuri wa tume. Sasa uchaguzi huu tume wanahusika na kuuharibu.
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2024-11-27 at 09.57.16.mp4
    14.6 MB
Huyo ni mgombea CCM katika kitongoji cha mgera B mwandiga amekamatwa alfajili ya leo akiwa na kura ambazo zina muhuri wa tume. Sasa uchaguzi huu tume wanahusika na kuuharibu.
Mbinu za Hovyo za kina Dr Nchimbi na CPA Makala
 
Punda hawezi kufa bila kurusha mateke, na upinzani hauwezi kukibali matokeo bila malalamishi.
 
Huyo ni mgombea CCM katika kitongoji cha mgera B mwandiga amekamatwa alfajili ya leo akiwa na kura ambazo zina muhuri wa tume. Sasa uchaguzi huu tume wanahusika na kuuharibu.
Intelijesnia ya Upinzani imefika mbali sana.

Kumbe ilikuwa Heri kushiriki huu uchaguzi hata kama sio wa haki.

Tumejifunza Mengi.
 
Huyo ni mgombea CCM katika kitongoji cha mgera B mwandiga amekamatwa alfajili ya leo akiwa na kura ambazo zina muhuri wa tume. Sasa uchaguzi huu tume wanahusika na kuuharibu.
Dr Samia Mwislamu safi anakubalije kuingizwa kwenye Uchafu huu?

Je kesho mbele ya wananchi atasemaje? Ataonekanaje?
 
Punda hawezi kufa bila kurusha mateke, na upinzani hauwezi kukibali matokeo bila malalamishi.
Khaaa!!! Unatetea chama mzoga ona mwenzako alivyoaibika kama zoba fulani hivi.

Njaa zitawaua
 
Ikiwa haya yanafanyika kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, ule"mkubwa" utakuwaje?
 
Naona mkwe kaonyesha vyema kwamba yeye ni KIFUA KIPANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…