Kigoma mjini, wapi pa kuosha macho wakuu

Dah! Mkuu natamani ningekuwa hapo ningekutembeza kona zote, japokuwa na muda sijafika huko lakini ni mwenyeji sana hadi usafiri tungepata wa bure kabisa
 
Daah Kigoma bado sana yaani
Bado sana ukilinganisha na wapi?
Kigoma mji mzuri mno, miundombinu iko vizuri na maeneo ya kujiachia kibao.
Kuna Kidyama Beach, Hiltop Hotel, Lake Tanganyika Hotel, Green View, Kigoma Park, The Wallet Lounge na viwanja kibao...
 
Ntakupa namba ya mdada mmoja kama u nataka kutembezwa na kuosha miguu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…