Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali Huyo ni raia mlipa Kodi mwanamke akitetea uhai wake yeye na mwanae baada ya jifungua zahanati.
Dah huwezi waona chawa wote hapa
 
Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote.

View attachment 3017674
terrible!
 
johnthebaptist leta uchawa wako basi na hapa
 
What happened?zahanati hapakuwa na wahudumu vipi wamepona?
 
Wakati wahusika wakikazana kusifia na kugeuka chawa wa viongozi, Hapa ni Jimbo la Kigoma kusini wilaya ya Uvinza kata ya Basanza Mkoani Kigoma katika zahanati ya serikali, huyo ni raia mlipa Kodi akitetea uhai wake pamoja na mwanaye baada ya kujifungua Zahanati bila kupata msaada wowote.

View attachment 3017674
Hapo napo utaambiwa mama anaupiga mwingi enzi za Anko nilikuwa sisikii mambo kama haya
 
Muda huo unasikia Kuna hela imelipia watu safari ya treni
 
Back
Top Bottom