Kigoma: Mwanamke adaiwa kujifungua na kukosa huduma kwa zaidi ya saa moja katika Kituo cha Afya Kata ya Basanza

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
She's so beautiful ,kwanini afe mpweke hivyo!!?

Hakuna jambo ninaloliheshim kama mwanamke mjamzito aiseh Tena anaeenda kujifungua kama huyo!
 
Dah huwezi waona chawa wote hapa
 
terrible!
 
johnthebaptist leta uchawa wako basi na hapa
 
What happened?zahanati hapakuwa na wahudumu vipi wamepona?
 
Hapo napo utaambiwa mama anaupiga mwingi enzi za Anko nilikuwa sisikii mambo kama haya
 
Muda huo unasikia Kuna hela imelipia watu safari ya treni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…