DOKEZO Kigoma: Shule ya msingi Nyamuti wilayani Buhigwe haijakamilika tangu 2006 hadi leo

DOKEZO Kigoma: Shule ya msingi Nyamuti wilayani Buhigwe haijakamilika tangu 2006 hadi leo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mimi kama mdau wa maendeleo kwa ujumla, naleta kwenu kero ya muda mrefu. Yapata miaka 20 sasa.

Tangu shule ya msingi Nyamuti iliyoko walaya ya Buhigwe kata ya Buhigwe kijiji cha Mlela mtaa wa Nyamuti, imegawanywa kutoka shule mama iitwayo shule ya msingi Mlela, hadi leo haijawahi kamilika

Wito wangu kwa Serikali kukamilisha mradi huo, tayari sasa imekuwa mradi kero, hali ya kuwa jamii inausubiri kwa hamu.

Naomba kuwasilisha kero yangu
 
Back
Top Bottom