Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Uchaguzi huu umekuwa disaster! Mkuu utakuaje kwa trela hili?
Pia soma: LGE2024 - Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Vijana wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi wa Polisi baada ya kuleta fujo kwenye zoezi la upigaji kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wakituhumiana kuhusu uwepo wa kura feki katika kituo cha shule ya msingi Kibirizi, mjini Kigoma leo.