LGE2024 Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura

LGE2024 Kigoma: Wananchi wafanya vurugu kituo cha kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Salam,

Wakati zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa likiwa linaendelea, kumeshuhudiwa vurugu katika kituo cha Shule ya Msingi Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji hali iliyopelekea Jeshi la polisi kufika na kutuliza ghasia hiyo.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa:
LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Baada ya kushuhudia vurugu hizo, tumezungumza na baadhi ya wananchi waliokuwa mashuhuda ambapo wamesema ni kutokana na mvutano wa uhasimu wa vyama baina yao kwa kila mmoja kuvutia upande wake kwa kutaka kuona hakuna udanganyifu wowote wa kura unafanyika kituoni.

 
Duh watu wanauana kwa sababu ya kuwa wajumbe wa nyumba kumi

Africa should be colonized again!!!

Unajua huu ndo uchaguzi muhimu mno. Hakuna nyumba isiyo na msingi bora. Determination ya ushindi 2025 ni sasa. Hapa ndo CCM itasema tulishinda 2024 na sasa njia nyeupe. Kumbe ni kutumia tu nyundo na si jembe.
 
Back
Top Bottom