Elections 2010 Kigoma yakombolewa kutoka mikononi mwa mafisadi.

MTOKAJASHO

Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
12
Reaction score
0
Kuanzia kigoma kaskazini sasa ni Kisalu, kibondo na kigoma mjini yaenda mikononi mwa the so called upinzani (wanaharakati wa maendeleo)
 
Kuanzia kigoma kaskazini sasa ni Kisalu, kibondo na kigoma mjini yaenda mikononi mwa the so called upinzani (wanaharakati wa maendeleo)

It is too early to call "upinzani", you may need to edit to read "chama tawala"
 
Kigoma mjini kashinda serukamba, ingawa madiwani ni wengi chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…