Tetesi: Kigoma yetu

Tetesi: Kigoma yetu

zubedasoud

Member
Joined
Feb 1, 2017
Posts
91
Reaction score
117
Wakazi wa kigoma hasa kata za kibirizi ,kikungu,gungu mwanga na mwandiga, wapigwa marufuk ya kutumia maji ya bwawa LA katosho kwa hofu ya kutiwa sumu@chanzo azam TV habar
 
Daaaaaah katosho ndio tumeikosa hivyo walianza kutukataza tusioge uchi bwawani now wametia sumu it's so sad
 
Back
Top Bottom