zubedasoud Member Joined Feb 1, 2017 Posts 91 Reaction score 117 Feb 10, 2017 #1 Wakazi wa kigoma hasa kata za kibirizi ,kikungu,gungu mwanga na mwandiga, wapigwa marufuk ya kutumia maji ya bwawa LA katosho kwa hofu ya kutiwa sumu@chanzo azam TV habar
Wakazi wa kigoma hasa kata za kibirizi ,kikungu,gungu mwanga na mwandiga, wapigwa marufuk ya kutumia maji ya bwawa LA katosho kwa hofu ya kutiwa sumu@chanzo azam TV habar
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Feb 10, 2017 #2 Poleni sana
Maguge Maguge JF-Expert Member Joined Sep 1, 2016 Posts 2,734 Reaction score 1,778 Feb 10, 2017 #3 Kachoteni kibhuye
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 35,812 Reaction score 107,628 Feb 10, 2017 #4 Daaaaaah katosho ndio tumeikosa hivyo walianza kutukataza tusioge uchi bwawani now wametia sumu it's so sad
Daaaaaah katosho ndio tumeikosa hivyo walianza kutukataza tusioge uchi bwawani now wametia sumu it's so sad
Manstone JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 516 Reaction score 315 Feb 10, 2017 #5 Kigoma iko nchi gani vile?
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 22,719 Reaction score 40,739 Feb 10, 2017 #6 Njooni muoge Mji Mwema vyoo vya ndani.