LGE2024 Kigoma: Zitto Kabwe adai kulikuwa na kura nyingi bandia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

LGE2024 Kigoma: Zitto Kabwe adai kulikuwa na kura nyingi bandia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amedai katika uchaguzi uliofanyika wa Serikali za Mitaa Vijiji na Vitongoji kulikuwa na kura nyingi za bandia katika maeneo mbalimbali nchini jambo ambalo lilikuwa dalili ya kufanyika kwa ubadhirifu katika chaguzi huo.

Zitto ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na wafuasi wa chama hicho pamoja na wananchi wa Kigoma waliojitokeza kumsikiliza jana Novemba 29, katika Uwanja wa Kawawa, uliopo Ujiji Kigoma.

“tumekamata watu wnegi sana tumeweza kudhibiti watu wengi sana vijana wamefanya kazi nzuri sana tuliweza kudhibiti vizuri sana kura nyingi zimekanatwa mtaani” amesema Zitto

PIA SOMA
- LGE2024 - Kigoma: Zitto Kabwe aonya wizi wa kura, atoa rai Wananchi kuzilinda

- LGE2024 - Kigoma: ACT Wazalendo kufungua kesi kuwashtaki Wasimamizi wa Uchaguzi
 
Back
Top Bottom