Kigonsera ss kuna tatizo

Maseluko

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
68
Reaction score
24
Kuna kila sababu kwa serikali kufanya uhamisho huu kwa mkuu wa shule na boharia kwan wana2mia ofisi zao kufanya biashara na kuifisid shule. pia wamekuwa miungu watu hawataki kusikiliza maon ya walim wenzao khs shule hii.wanafanya kaz kwa mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…