KIGUGUMIZI, Je asili yake ni nini ? Kinatibika ?

KIGUGUMIZI, Je asili yake ni nini ? Kinatibika ?

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Wanasimba Hongereni

Moja kwa moja kwenye mada, Kigugumizi ni nini ? Huwa kinatokana na nini ? Je kinarithishwa ? Nini hatua za kufanya ili kukikabili ?

Nawasilisha.

NB; Nashukuru Mungu siku hizi ukiwa na mada kama hizi wale wanaojiita wajuaji huwa wanapita tu, sababu tayari tumeshaweka standard kwenye mada zetu. Hapa nataka watu wanaojua na wenye experience ya ama kukaa na watu ama kutibu watu wenye Kigugumizo. Ahsante
 
Back
Top Bottom