Je, kigugumizi (stammering) kinaweza kukusababishia ukose mpenzi?
duh, lakini vinatofautiana 'intensity' wengine wakiongea mpaka 'wanafumba macho!
ukiona una kasoro kubwa kama hivyo..
dawa ni kutafuta pesa tu za kutosha kumpa maisha bora huyo
mwanamke unayemtaka...