Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Du na wa kwangu ni hivyo hivyo sema yy ana 5 now!.....ila sijamwangalia khs hicho kinyama, mwanzoni nilikuwa naona au dogo anajifanya nn?....ila ngoja wataalamu waje watujuze.Wakuu habari za majukumu.
Mwanangu anasumbuliwa na kigugumizi anashindwa kuongea mpaka anafumba macho.
Wakati anazaliwa hakuwa na hali hii, imemuanza baada ya kitimiza miaka miwili na nusu Na hapo awali alikua anaongea vzr kabisaa.
Kinachotupa mashaka tumemkagua tumemuona hapa chini ya ulimi anakingozi kimeshikana na ulimi sasa hatujui ndo tatizo au vp.
Tunaomba msaada wenu kwa wazazi ambao mmepitia hali hii kwa watoto wenu, Na wataalam wenye ujuzi wa jambo hili kabla ya kumpeleka hospital
Jamani utani mwingine c mzuri ungekuwa ni wewe unatafuta msaada ukapata reply kama hiyo. Mimi sina jibu jamani. Ila tumwogopeni Mungu leo kwake kesho.....Mtoto wa rafiki yangu alikuwa a tatizo hilo, walikwenda kwa speech therapist aliyewashauri wabadilishe lugha ya kuongea nae. Walipoanza kuongea nae Kiingereza hali ilibadilika.
Si utani ni kweli kabisa mkuu. Tatizo kama wazazi lugha ya pili haipandi na ukute Baba m-Haya mama m-SukumaJamani utani mwingine c mzuri ungekuwa ni wewe unatafuta msaada ukapata reply kama hiyo. Mimi sina jibu jamani. Ila tumwogopeni Mungu leo kwake kesho.....
Tufanye wewe ni kama mimi niliyeishia la saba hicho Kingereza. Lakini siwezi kubisha sana. Tuwaone watalaam wanasemajeSi utani ni kweli kabisa mkuu.
Speech therapists ni sehemu ya allied health wanapatikana hospitaliTufanye wewe ni kama mimi niliyeishia la saba hicho Kingereza. Lakini siwezi kubisha sana. Tuwaone watalaam wanasemaje
Mwenzangu huku Kuroshio darasa la saba A huku, shots mwingine aliishia la saba A kama mimi sasa mume aliwapeleka watoto English medium wanabiwa na nyumbani wao gee kiingilishi shots ananiambia watoto wa Ayala kusafisha Rosari kiingilishTufanye wewe ni kama mimi niliyeishia la saba hicho Kingereza. Lakini siwezi kubisha sana. Tuwaone watalaam wanasemaje
Wewe si uliaga JF wewe?!Mtoto wa rafiki yangu alikuwa a tatizo hilo, walikwenda kwa speech therapist aliyewashauri wabadilishe lugha ya kuongea nae. Walipoanza kuongea nae Kiingereza hali ilibadilika.
Si kwa msuto huu.Wewe si uliaga JF wewe?!
Nashukuru bado upoSi utani ni kweli kabisa mkuu. Tatizo kama wazazi lugha ya pili haipandi na ukute Baba m-Haya mama m-Sukuma
Pole sana Dada inabidi uwahi haraka wakalikate, mimi pia wakwangu alikua hivyo alipotimiza miaka 2 nikaenda Muhimbili wakasema hana tatizo, lakini Mtoto akaendelea hivyo , nikarudi tena Muhimbili kwa Dr. Mwingine lakini jibu likawa the same, Bibi mmoja Mzee akanipeleka sehemu walikata vizuri Kwan ustaadi Mtoto akapona kabisaWakuu habari za majukumu.
Mwanangu anasumbuliwa na kigugumizi anashindwa kuongea mpaka anafumba macho.
Wakati anazaliwa hakuwa na hali hii, imemuanza baada ya kitimiza miaka miwili na nusu Na hapo awali alikua anaongea vzr kabisaa.
Kinachotupa mashaka tumemkagua tumemuona hapa chini ya ulimi anakingozi kimeshikana na ulimi sasa hatujui ndo tatizo au vp.
Tunaomba msaada wenu kwa wazazi ambao mmepitia hali hii kwa watoto wenu, Na wataalam wenye ujuzi wa jambo hili kabla ya kumpeleka hospital
Wewe sasa unaleta mzahaNe-ne-ne-ne-nenda hospitali ma-ma-ma-mapema sa-sa-sa-sa-sa-sanaa ha-ha-ha-halafu ka-ka-ka-ka-kama kwe-kwe-kwe-kwenu yu-yu-yu-yupo mtu mwe-mwe-mwe-mwe-mwenye hilo ta-ta-ta-ta-ta-tatizo kuna u-u-u-u-uwezaka-ka-kano m-m-m-mto-to-to wako a-a-amerithi. Kigugumizi ni-ni-ni u-u-ulemavu mbaya saaa-a-a-ana...kuna thread nyi-nyi-nyingi hu-hu-humu zi-zi-zipi-tiee zi-zinawe-we-weza kuku-kusaidiaa a-a-au mtafu-fu-fute hu-hu-huyu mwa-mwa-mwanacha-cha-cha-chama-ma-ma-ma mwenzetu-tu-tu a-a-anai-i-itwa Mzi-zi-zi Mkavu. Po-po-pole my-my-my da-da-da-da Mungu ata-ta-takusaidia-a-a-a-a.