Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kigwangala kwa uchafu wote aliopata kufanya alipo kuwa Waziri hivi anatoa wapi nguvu ya kunyanyua kinywa na kutuhumu ufisadi wa wengine?
Kigwangala ni baadhi ya wachache wasio gerezani kwa kuhurumiwa tu lakini tofauti na hapo ni mtu aliyepaswa awe gerezani kwa makosa ya ufujaji wa pesa za umma kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa.
Magufuli alijizuia sana kumfedhehesha na kumzalilisha kwa tuhuma lukuki zimhusuzo kwa sababu ya usukuma gang wake ajabu leo ananyanyua kinywa bila aibu kujipendekeza kwa Samia.