Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wameanza kujikomba komba warudi uongozini. Huwa najiuliza wakishaiba hizo pesa huwa haziwatoshi kuendeleza maisha yao. Mfano biashara hadi watake tena kuiba
Hili linazidi kujidhirisha kuwa Awamu ya tano ilikuwa ni ya wapigaji balaa!!Nimeangalia hapo kuna Malazi na kule kuna Posho ya kujikimu,sijaelewa😲
View attachment 2033424
Aibu kubwaView attachment 2033392
Kigwangala kwa uchafu wote aliopata kufanya alipo kuwa Waziri hivi anatoa wapi nguvu ya kunyanyua kinywa na kutuhumu ufisadi wa wengine?
Kigwangala ni baadhi ya wachache wasio gerezani kwa kuhurumiwa tu lakini tofauti na hapo ni mtu aliyepaswa awe gerezani kwa makosa ya ufujaji wa pesa za umma kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa.
Magufuli alijizuia sana kumfedhehesha na kumzalilisha kwa tuhuma lukuki zimhusuzo kwa sababu ya usukuma gang wake ajabu leo ananyanyua kinywa bila aibu kujipendekeza kwa Samia.
Hakika Hamis ni khanithi kweli
Hawa ndugu hawanaga rafiki wala adui wakudumu, yaliyo ya kudumu ni maslahi yao binafsi...Ni wale wale awamu zote chakuchekesha kila awamu wanabadili tu santuri za nyimbo...Pathetic beings!View attachment 2033392
Kigwangala kwa uchafu wote aliopata kufanya alipo kuwa Waziri hivi anatoa wapi nguvu ya kunyanyua kinywa na kutuhumu ufisadi wa wengine?
Kigwangala ni baadhi ya wachache wasio gerezani kwa kuhurumiwa tu lakini tofauti na hapo ni mtu aliyepaswa awe gerezani kwa makosa ya ufujaji wa pesa za umma kwa mambo yasiyo na tija kwa Taifa.
Magufuli alijizuia sana kumfedhehesha na kumzalilisha kwa tuhuma lukuki zimhusuzo kwa sababu ya usukuma gang wake ajabu leo ananyanyua kinywa bila aibu kujipendekeza kwa Samia.
Heee!View attachment 2033392