Kigwangala alishasema zamani kuwaambia wapiga kura wake kwamba yeye ni lazima kwanza ajaze tumbo lake ndio awafikirie wao baadaye !!Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na sio Ufalme!
Mtu aliye karibu na Kigwangala amuambie na amfafanulie kwamba uzalendo wa kwanza katika jamuhuri unapaswa kuwa katiba ya taifa.
Dhuluma ni mbaya. !Jamaa anakaribia kuwa kichaa kamili, maana mpaka sasa dishi linayumba kimtindo.
Majuzi alisema anaunga mkono anayemtukana Rais, leo yeye kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza.
PerfectoManeno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na sio Ufalme!
Mtu aliye karibu na Kigwangala amuambie na amfafanulie kwamba uzalendo wa kwanza katika jamuhuri unapaswa kuwa katiba ya taifa.
Shida teuzi wanalamba rushwa kubwa sn hivyo anazimiss kupita kiasiJamaa anakaribia kuwa kichaa kamili, maana mpaka sasa dishi linayumba kimtindo.
Majuzi alisema anaunga mkono anayemtukana Rais, leo yeye kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza.
Ile Kauli ya kumtetea Mange Kimambi ndio imemstaafisha Ubunge rasmi nadhani Maulid Kitenge atachukua Jimbo ππJamaa anakaribia kuwa kichaa kamili, maana mpaka sasa dishi linayumba kimtindo.
Majuzi alisema anaunga mkono anayemtukana Rais, leo yeye kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza.
Rais akifanya vizuri lazima tumsifu, we kinakuuma nini.Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na sio Ufalme!
Mtu aliye karibu na Kigwangala amuambie na amfafanulie kwamba uzalendo wa kwanza katika jamuhuri unapaswa kuwa katiba ya taifa.
Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na sio Ufalme!
Mtu aliye karibu na Kigwangala amuambie na amfafanulie kwamba uzalendo wa kwanza katika jamuhuri unapaswa kuwa katiba ya taifa.
Sio lazima kumsifu Rais kwa jambo lolote lile, kumsifu rais sio uzalendo wa kwanza, mtu yeyote kwa hiyari yake anaweza kumsifu rais vyovyote vile apendavyo hata akimuita mungu ni sawa tu na wala mimi hainiumi chochote, ila tusifanye upotoshaji kama huu wa Kigwangala na huu wako hapa wa kusema ni "lazima".Rais akifanya vizuri lazima tumsifu, we kinakuuma nini.