johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna Wakati Dr Kigwangala alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na Msaidizi wake yaani Katibu Mkuu alikuwa Prof Mkenda Kila siku walikuwa wanashtakiana Kwa shujaa Magufuli
Baadaye Prof Mkenda akatumia LISU style ya kumpandia Dr Kigwangala huko huko juu Uwazirini na sasa Kigwa katulizwa Kote Kote Siasani hadi Makolo FC Kwa Simba dugu moya
Ngoja tuone hii ya Mkenda vs Katibu wa Rais itaishije
Ahsanteni sana 😄