johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chama cha MazezetaKuna Wakati Dr Kigwangala alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na Msaidizi wake yaani Katibu Mkuu alikuwa Prof Mkenda Kila siku walikuwa wanashtakiana Kwa shujaa Magufuli
Baadaye Prof Mkenda akatumia LISU style ya kumpandia Dr Kigwangala huko huko juu Uwazirini na sasa Kigwa katulizwa Kote Kote Siasani hadi Makolo FC Kwa Simba dugu moya
Ngoja tuone hii ya Mkenda vs Katibu wa Rais itaishije
Ahsanteni sana π
Atampandia huko huko boss wa Katibu. Aah, nimesahau, kumbe uteuzi wa jina la mgombea umeshafanyika!Kuna Wakati Dr Kigwangala alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na Msaidizi wake yaani Katibu Mkuu alikuwa Prof Mkenda Kila siku walikuwa wanashtakiana Kwa shujaa Magufuli
Baadaye Prof Mkenda akatumia LISU style ya kumpandia Dr Kigwangala huko huko juu Uwazirini na sasa Kigwa katulizwa Kote Kote Siasani hadi Makolo FC Kwa Simba dugu moya
Ngoja tuone hii ya Mkenda vs Katibu wa Rais itaishije
Ahsanteni sana π
Kabisa, ni upuuzi pale unapotaka mambo yaende haraka, then kuna watu wanakuzuia kuonana na boss wako.Profesa kuishi kinafiki kama Lusinde, Kafulila na Dorothy Gwajima ni ujinga...
Acha awapasue!
Kuna wimbo ullimbwa wa hicho kisaNobody can separate Grigori Rasputin from the love of the Russian Queen.
Prof Mkenda should realize this grim truth before it's too late.
Prof Mkenda ni asset kwa nchi. Namfahamu vizuri sana, hana mzaha na longolongo.Kuna Wakati Dr Kigwangala alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na Msaidizi wake yaani Katibu Mkuu alikuwa Prof Mkenda Kila siku walikuwa wanashtakiana Kwa shujaa Magufuli