Anasubiri matokeo ya rufaa aliyokata baada ya kunywimwa mkopo wa pikipiki.Habari za muda huu wadau wa sport.
nisiwachoshe nauliza tu huyu bwana wa kuitwa kigwangala yupo wapi mbona kimya sana?? sio kawaida yake kukaa kimya.
haya anayofanya simba sport club kwake hayana maana yoyote?? mbona simba ikifanya vibaya tuu unaanza kuona makala nyingi za lawama kwa tajiri Mo Dewji??
simba tupo nusu fainali shirikisho hata kutupongeza tuu hamna??
acha roho mbaya kigwangala
nilipofika ulipoandika "HAWAFAHI" nikaishia hapo. mbulula waheed. wakati simba inachukua ubingwa four times conservatively ulikuwa bado hujazaliwa??Usiwe shabiki hoya hoya.
1 Uwekezaji wa Simba Haueleweki hadi sasa mchakato haujakamilika.
2. Mtu anapohoji maana yake amekuzidi akili wewe ni ndio mzeee ndio mzeee.
shabiki wa kijiweni.
3. Simba hadi sasa Imekosa Ubingwa mala nne Mfululizo na sasa yanga wanaenda kuchukua.
Yani namaanisha tangu ligi inaitwa NBC simba haijawahi kupata kitu.
4. Kombe la CRDB nalo linaenda yanga simba hapati kitu chochote.
5. Simba inashinda kwa Taabu, Fluke, kubebwa na Marefa, Penalt na Hamasa
6. Sita lakini sio mwisho Simba bado ina kikosi Dhaifu sana Baadhi ya wachezaji hawafahi hata kucheza simba mfano.
Joshua Mutale.
Charles Ohua.
Karabue Chamoe.
Okejepha
Ateba, mukwala nk.
Mimi ni mwanachama wa simba na si shabiki, tena sio hoyahoya.
FIKICHA AKILI.
@kigwangala
nilipofika ulipoandika "HAWAFAHI" nikaishia hapo. mbulula waheed. wakati simba inachukua ubingwa four times conservatively ulikuwa bado hujazaliwa??
Mbulula wahed nimecheka kama mwendawazimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]@kigwangala
nilipofika ulipoandika "HAWAFAHI" nikaishia hapo. mbulula waheed. wakati simba inachukua ubingwa four times conservatively ulikuwa bado hujazaliwa??
Mwanaume Unaendekeza kucheka cheka.Mbulula wahed nimecheka kama mwendawazimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mashabiki wanapotimuliana vumbi mi huwa nacheka sana.Unapenda sana Lugha Chafu na za maudhi?????
Hongera sana conservatively nimeishia hapa.
Kiingereza Cha Mbwinde.
Kichaa sio lazima uokote mikopo.