Pre GE2025 Kigwangalla: Asilimia 65 ya Wabunge hawachaguliwi tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Thugs001

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2018
Posts
434
Reaction score
933
"Kila baada ya miaka mitano, asilimia takribani 65 ya wabunge hawarudi [hawachaguliwi tena]. Kwahivyo, hata utishie namna gani, utatoka tu kama wakati wako wa kutoka umefika." - Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla kuhusu vitisho vya baadhi ya wabunge kwa wanaotaka kugombea ubunge kwenye majimbo yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…