Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kinembe anasemajeMbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;
"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga mkono alichokisema Askofu Gwajima. Kushughulikiwa wapi? Mh. Luhaga Mpina si yupo? Gwajima hajashughulikiwa!!
"Umesikia Chama kimesema chochote?? Na Chama hakijasema chochote na CCM ni dude kubwa, kama asiposema Mama (Samia Suluhu Hassan) ina maana CPA Amos Makalla angekuwa ameshasema chochote"
Kwahiyo ile Gwajimanazation aliisema nani au alikua anaongelewa nani? Wale vibaka wa yuvisisiemu walikua wanamsema nani? Wale wakinondoni walikua wakimsema nani? Ni aibu mtu mzima mwenye taaluma yako kua chawaMbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;
"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga mkono alichokisema Askofu Gwajima. Kushughulikiwa wapi? Mh. Luhaga Mpina si yupo? Gwajima hajashughulikiwa!!
"Umesikia Chama kimesema chochote?? Na Chama hakijasema chochote na CCM ni dude kubwa, kama asiposema Mama (Samia Suluhu Hassan) ina maana CPA Amos Makalla angekuwa ameshasema chochote"
Hili zoba kweli na nafiki wa kiwango cha masizi. Kwani baada ya Mpina kuongea juzi hasira aliyoionesha kwake hadharani ni ya nini wakati msemaji alikuwa anawasilisha kero za wananchi ambao ndio walimtuma?Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;