Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ogopa sana mwanasiasa anayetafuta upenyo wa uteuzi hasa kama alishawahi kuonja madaraka makubwa, akaondolewa sasa muda wote moyo wake hauwezi kuwa na utulivu, ni lazima apalangane anavyoona inaweza kumfaa mteuaji akamuona na ndio tatizo la wanasiasa wengi wa kiafrika! Yaani ukiwasikiliza misimamo yao wakati wa meko na sasa ni aibu. Ni njaa tu.Kigwangallah kafilisika Sana kisiasa, haeleweki anasimamia nini
Hapo kamnukuu Kabudi. Serikali inajitahidi kila iwezavyo kuuficha moto, lakini hawezi kuuficha moshi. Katiba imewekwa viraka mpaka inachusha, na vyote viraka hivyo ni kandamizi."Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure.Kwa kuwa hii inatoa haki, usawa na amani, tuiheshimu."
"Kwa kuzingatia Katiba yetu ilipotoka, na uwepo wa mabadiliko makubwa ya mwaka 1984, na jinsi ilivyoweza kutuvusha kwenye kipindi kigumu cha msiba mzito kwa amani, na ilivyoweza kudumisha Muungano wetu kwa kipindi chote hiki, mabadiliko ya Katiba yanaweza kusubiri kidogo kwanza."- Mh. Kigwangalla
"Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure.Kwa kuwa hii inatoa haki, usawa na amani, tuiheshimu."
"Kwa kuzingatia Katiba yetu ilipotoka, na uwepo wa mabadiliko makubwa ya mwaka 1984, na jinsi ilivyoweza kutuvusha kwenye kipindi kigumu cha msiba mzito kwa amani, na ilivyoweza kudumisha Muungano wetu kwa kipindi chote hiki, mabadiliko ya Katiba yanaweza kusubiri kidogo kwanza."- Mh. Kigwangalla
Sasa Mh. Mbunge mfano katiba ikasema ili mtu aruhusiwe kugombea ubunge sharti awe na elimu ya shahada. Inamaana nalo hili haliwezi kutekelezeka. Haya katika ikasema waziri asiwe mbunge inamaana hili nalo haliwezi kutekelezeka kweli mkuu. Fikiria kwa umakini hapo."Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure.Kwa kuwa hii inatoa haki, usawa na amani, tuiheshimu."
"Kwa kuzingatia Katiba yetu ilipotoka, na uwepo wa mabadiliko makubwa ya mwaka 1984, na jinsi ilivyoweza kutuvusha kwenye kipindi kigumu cha msiba mzito kwa amani, na ilivyoweza kudumisha Muungano wetu kwa kipindi chote hiki, mabadiliko ya Katiba yanaweza kusubiri kidogo kwanza."- Mh. Kigwangalla
Hilo shetani litawezaje kukataa kuitumia kama katiba imeweka utaratibu wa kimdhibiti anayeenda kinyume?Very true, au ikawepo likaja lishetani lisiifuate
Kama akili yake imetuma hivyo sasa kwa nini tuna katiba. Basi hata hii tulivyonavyo tuachane nayo mpaka Siku tutakapojua namna ya kuitumia..."Katiba ya Marekani ya Mwaka 1789 iliandika ‘all men are created equal’ lakini bado miaka 180 baadaye bi. Rosa Park alitakiwa kumpisha kiti dume la kizungu! Katiba inaweza kuweka ‘statement’ nzuri, bila utekelezaji ni kazi bure.Kwa kuwa hii inatoa haki, usawa na amani, tuiheshimu."