Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nachukua muda mwingi kuangalia maisha ya ndugu zetu wanapopewa vyeo na wanapovuliwa madaraka. Kigwangala alikuwa moto sana na harakati nyingi akiwa Waziri, Leo ameondolewa nilitegemea aendelee japo kupost positive things watu waige watekeleze lakini amejikita kwenye push up.
Hii maana yake Nini? Inatufundisha kwamba maisha nje ya madaraka yanachanganya na usipokuwa mvumilivu unaweza kuchanganyikiwa. Wito kwa viongoz, try to live your normal life before and after power so that people will not realize changes