Kigwangalla, una uhakika na usahihi wa tafsiri hii mliyotumia?

Kigwangalla, una uhakika na usahihi wa tafsiri hii mliyotumia?

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Pale JNIA Terminal 2 niliona tangazo lenye sura ya waziri wetu wa utalii.

Tangazo hili lina slides 2, ya Kiswahili na ya Kiingereza.

Ya Kiswahili imeandikwa “Simba ni Utalii”, ya Kiingereza imeandikwa “Lion is Tourism”.

Sasa hii phrase ya Kiingereza imenipa ukakasi sana.

Kwanza imekosa Article “a” au basi ingekuwa plural “Lions” halafu badala ya “tourism” basi ingekuwa “Tourist Attraction”

Naomba wataalamu mpendekeze zaidi au kama “Lion is Tourism” ni sahihi pia mnisaidie kuelewa.

IMG_2999.JPG
 
Mambo ya digrii 4 wewe au unashauri tu?
 
Jamaa anajipigia promo yeye, hapo si ajabu kashanchefua babake Bashite, anamlia timing tu aingie kwenye 18 zake.
 
Back
Top Bottom