Kigwangalla, una uhakika na usahihi wa tafsiri hii mliyotumia?

Kigwangallah kajimix hapo vipi? Kila Waziri akiamua kujichomeka kwenye kila tangazo si itakuwa tafrani? Siku akitumbuliwa nadhani ndio itakuwa nafasi nzuri ya kuboresha hiyo english yenye matege na makengeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…