Kigwangwala amfuata Sitta Nyumbani kulalamika

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Leo tena Kigwangwala azomewa bungeni, anasema mwenyekiti Sitta anawapendelea wachache bungeni.
 
[h=2]Kigwangwala amfuata Sitta Nyumbani kulalamika[/h]
Hivi Sitta ana nyumba Dodoma? Halafu naye huyo Kigwangwala amemaliza ile kesi yake ya kuandamanisha wachimbaji wadogo wadogo? Ana kiherehere sana, limdomo libaya kama kata ya kunywea pombe
 
Leo tena Kigwangwala azomewa bungeni, anasema mwenyekiti Sitta anawapendelea wachache bungeni.

Nibahati kuchaguliwa na kupewa jina na watu wengine. Kama ulilichagua wewe hilo jina lako! Majina huendana na matendo ya mtu. Inawezekana sana wewe ni bongolala. A simple mind always discuss simple issues. Ndiyo wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…