Tetesi: Kihamia atamjibu hivi Mashinji

Tetesi: Kihamia atamjibu hivi Mashinji

Duniahadaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
336
Reaction score
677
Muda wote amejichimbia anatafuta namna ya kuhalalisha batili iliyofanyika Korogwe. Atajibu hivi: "Barua yako imekuja kama malalamiko na sio rufaa, kwa hiyo NEC imeshindwa kukujibu"

Halafu waatakuja kuwaambia CIA leteni ushahidi!
 
waende mahakamani mbona wanauwa hivi jamani nao hawa!
 
Muda wote amejichimbia anatafuta namna ya kuhalalisha batili iliyofanyika Korogwe. Atajibu hivi: "Barua yako imekuja kama malalamiko na sio rufaa, kwa hiyo NEC imeshindwa kukujibu"

Halafu waatakuja kuwaambia CIA leteni ushahidi!
Kihamia na Kailima ni mapacha wa mfuko mmoja .

Hata hivyo una bahati uzi wako haujapelekwa " Different forum " utautafuta forum zote usiuone !
 
Hilo jina sikuwa nimelisoma vizuri, nikadhani "KiBamia" kumbe "KiHamia".

Huyo Mkurugenzi anatekeleza Agizo, wala asilaumiwe, analinda kibarua ili watoto wake waende msalani.
 
Back
Top Bottom