Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
waende mahakamani mbona wanauwa hivi jamani nao hawa!Muda wote amejichimbia anatafuta namna ya kuhalalisha batili iliyofanyika Korogwe. Atajibu hivi: "Barua yako imekuja kama malalamiko na sio rufaa, kwa hiyo NEC imeshindwa kukujibu"
Halafu waatakuja kuwaambia CIA leteni ushahidi!
Kihamia na Kailima ni mapacha wa mfuko mmoja .Muda wote amejichimbia anatafuta namna ya kuhalalisha batili iliyofanyika Korogwe. Atajibu hivi: "Barua yako imekuja kama malalamiko na sio rufaa, kwa hiyo NEC imeshindwa kukujibu"
Halafu waatakuja kuwaambia CIA leteni ushahidi!