Kihasibu, Chama ni hasara Kwa Yanga, uchambuzi ni huu hapa

Kihasibu, Chama ni hasara Kwa Yanga, uchambuzi ni huu hapa

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Kama kawaida ya wahasibu wa Tanzania, ambapo hua tunasomea na kuchambua mpira, Mambo ya kihasibu, yaani kuhesabu mafaranga njoo kama vile tuliwachambulia Kwa Aziz Ki.

Kwahiyo uelekeo wa CPA ndio unaonesha yote hayo, Haya mambo hamuwezi kuyaelewa ninyi Yanga, na hamtoelewa.

Yaani uhasibu ni kutunza vitu, hata kutunza chakula ni uhasibu, kutunza funguo ndio uhasibu uleule
Watani na mambo yao ya kihasibu.
 
Bila upendeleo wowote kiuchambuzi technically yanga bado hawana timu
Kwanini..
Maana kwa jicho la kimpira hasa kwa level yetu ya kibongo yanga huwezi kuibeza labda kama utailinganisha na angalau timu kubwa kubwa za hapa Africa ni sawa ila kwa zone yetu angalau inaonesha uhai..
Tusiongelee ushabiki hebu funguka labda technically ipi unayozungumzia mkuu..
 
Back
Top Bottom