Kihasibu, min-me anautajiri wa 1 Billion+

Daktari Dr am 4 real PhD hivi daktari min -me alisema atafika mjini lini ?

Nimepata habari nzuri ya kutufanya tuwe na kikao kizuri na yeye ,ila jitahidi uwe umemuaga shemeji kabisa maana kitakuwa kikao haswa
Kapoteza 40m, tangu asubuh sijamuona humu.

Inasemwa ana utajiri UNAO kadiliwa kuwa bilioni moja bank.na Mali mbali mbali zisizo hamishika kaka ๐Ÿ˜Š

Karibu kaka ukija nicheki kaka ntavunja shughuli zoteee tuweze kuonana
 
Dah huwezi amini sikuuona huo uzi mpaka hapa uliposema wewe .

Dah kwanza nampa pole sana aise
Shukrani kaka ,nifikapo nitakucheki ndugu
 
Una IDs nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ