Kihasibu, min-me anautajiri wa 1 Billion+

Facebook huwa napakubali kule Kuna great thinker, kuliko huku kelele nyingi njaa tupu, kule mabishano kama haya watu wanapost mpaka hati, yani mtu anakaliwa kooni Hadi anaona kutetea brand anafata hati ya nyumba anapiga picha anapost, yani kuwaaminisha nzengo kuwa ni kweli kajenga baada ya kutukana kuwa hana hela kapanga jikoni Kwa shemeji yake
 
Utoto unakusumbua
 
Min mee naweza sema ana maisha, nendeni kwenye Uzi wa snap it show it, Kuna picha alipost, kuanzia mavazi pia yupo mambele Kwa kweli naweza kubali Yuko njema, sijui kama ni yake au harakati za mtu mweusi.
 
Utoto unakusumbua
Hapana bro, tuongee tu ukweli, mambo ya utajiri wa mtu mdomoni tu ni ujinga na ushamba kuamini hayo mana tusha danganywa mkubwa fella ni meneja ghali afrika mashariki unaijua kilicho tokea baada ya kuugia, na marehemu ruge, huwezi aminisha watu Kwa mdomo tu kaka si kweli sitaki kua mnafiki kaka
 
Amekupa offa ya bia. Ukaona usiinywe kimya kimya?
 
Uwaaminishe watu ili iweje ?
 
Min mee naweza sema ana maisha, nendeni kwenye Uzi wa snap it show it, Kuna picha alipost, kuanzia mavazi pia yupo mambele Kwa kweli naweza kubali Yuko njema, sijui kama ni yake au harakati za mtu mweusi.
mkuu harakati za mtu mweusi zipoje😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…