Pole sana kwa uroho na kuropokwaMimi mwenyewe juzi kati niliaibika kazini,kuna mfanyakazi mwenzangu aliwaita wadada wanaofanya usafi wamletee pepsi 2 kwa kihereheree si nikaropoka mimi huwa sinywi pepsi akasema zote zangu nakunywa mimi nilijisikiaje aibuuu!!
Hahahaaaa ningekimbia
nimerudi dogo....nambieDogo ukirudi nitafute
nimerudi dogo....nambie
PolePole sana kwa uroho na kuropokwa
Hii inawezekana ilikuwa ya kwako.sema ukamkata maini kwa kujichagulia zawadi, akaona asikukawize.Mimi mwenyewe juzi kati niliaibika kazini,kuna mfanyakazi mwenzangu aliwaita wadada wanaofanya usafi wamletee pepsi 2 kwa kihereheree si nikaropoka mimi huwa sinywi pepsi akasema zote zangu nakunywa mimi nilijisikiaje aibuuu!!