Kihoja; Wabunge wataka EWURA ipewe jukumu la kupandisha na mishahara

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Ilikuwa kama ni kichekesho lakini ni kweli tupu. Mdogo wangu (mtoto wa aunt yangu) kanipigia simu akiwa mghahawa wa pale bungeni leo.

Mdogo wangu huyu kaenda Dodoma kupeleka malalamiko yake kwa Waziri Mkuu kwa kuwa baba yake amesingiziwa kesi ya uhujumu uchumi na yupo ndani kwa sababu ya siasa za uhasama.

Baba yake huyu jamaa amewekwa ndani tangu mwaka juzi 2020 wkt wa Uchaguzi na mpaka sasa anasota bila sababu ya maana kesi ikiendelea kutajwa tu.

Basi kisa cha huko bungeni leo pale kantini eti wabunge wenyewe wakawa wanatania kama EWURA ingekuwa imepewa jukumu la kupandisha na kushusha mishahara basi wafanyakazi wangekuwa na furaha sana Tanzania hii.

Yaani EWURA ingekuwa inaona tu wananchi nguvu yao ya kununua (purchasing power) imepungua basi wanawapandishia mishahara wafanyakazi ili waendane na uchumi wa soko kwa wakati huo.

Ikitokea wananchi nguvu yao ya kununua imeongezeka basi wanaelekeza mishahara inashuka tena.

Wabunge wanasema EWURA ina uwezo wa kufanya hivyo kwa kuzingatia uzoefu wa kupandisha na kushusha bei ya mafuta walionao kwa miaka mingi
 
Kichekesho hiki, yaani ewura asipandishe bei ya mafuta ambako anakula 2% ya tozo na mlungula juu kutoka kwa wafanyabiashara aje kukupandishia mshahara.
 
Imeonekana anaweza hii kazi ya kupandisha pandisha!
 
Ilikuwa kama ni kichekesho lakini ni kweli tupu. Mdogo wangu (mtoto wa aunt yangu) kanipigia simu akiwa mghahawa wa pale bungeni leo.

Mdogo wangu huyu kaenda Dodoma kupeleka malalamiko yake kwa Waziri Mkuu kwa kuwa baba yake amesingiziwa kesi ya uhujumu uchumi na yupo ndani kwa sababu ya siasa za uhasama.

Baba yake huyu jamaa amewekwa ndani tangu mwaka juzi 2020 wkt wa Uchaguzi na mpaka sasa anasota bila sababu ya maana kesi ikiendelea kutajwa tu.

Basi kisa cha huko bungeni leo pale kantini eti wabunge wenyewe wakawa wanatania kama EWURA ingekuwa imepewa jukumu la kupandisha na kushusha mishahara basi wafanyakazi wangekuwa na furaha sana Tanzania hii.

Yaani EWURA ingekuwa inaona tu wananchi nguvu yao ya kununua (purchasing power) imepungua basi wanawapandishia mishahara wafanyakazi ili waendane na uchumi wa soko kwa wakati huo.

Ikitokea wananchi nguvu yao ya kununua imeongezeka basi wanaelekeza mishahara inashuka tena.

Wabunge wanasema EWURA ina uwezo wa kufanya hivyo kwa kuzingatia uzoefu wa kupandisha na kushusha bei ya mafuta walionao kwa miaka mingi
Hizi ajira zilipotelea wapi?
 
Attachments

Basi kisa cha huko bungeni leo pale kantini eti wabunge wenyewe wakawa wanatania kama EWURA ingekuwa imepewa jukumu la kupandisha na kushusha mishahara basi wafanyakazi wangekuwa na furaha sana Tanzania hii.

Kwahiyo ukaamua kutuletea utani ulioletewa na mdogo wako.!

Na huoni busara kulinda taarifa muhimu aliyokushirikisha kuhusu kesi ya baba’ke wewe unaona ushujaa kuianika hapa, hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom