Kihongosi acha kuvamia vijiwe vya CHADEMA huku umeficha mapanga mgongoni

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Baada ya kuwaua kwa risasi sasa mnarudi kwao kama mbwamwitu huku mmejifunika ngozi ya kondoo.

Mchana unasema Tanzania ni moja na ndugu tusibaguane usiku mnawateka na kuwakata vichwa.

Elewa hao vijana unaowatembelea bado wanamajonzi ya wapendwa wao huku Mwenyekiti wao hawajamuona leo ni zaidi ya mwaka mmoja.

 
Gaidi hata ajifiche vipi ni gaidi.CCM inaonesha ugaidi wao rasmi sasa.
 
porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…