Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Imeandikwa wapi ?
Huyu muuaji anaongea utumbo, fala na muuaji, hana maana. Anapanua domo lake kutapika upumbavu wake.Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu wa kujua matumaini na matarajio ya maendeleo tuliyofikia leo yametokana na Chama hiki, kwasababu hatujawahi kuongozwa na Chama kingine"
Vijana wana wajibu wakuona ccm iking'ooka mamlakani kwani imedhihirisha imeshindwa kutimiza ndoto za vijana na WatanzaniaKatibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu wa kujua matumaini na matarajio ya maendeleo tuliyofikia leo yametokana na Chama hiki, kwasababu hatujawahi kuongozwa na Chama kingine"