Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Afadhali huyo kuna siku Mkuu wa Kaya alikuwa anafanyiwa interview na Clouds Fm siku ya birthday yake. Basi msikilizaji akapiga simu na kum-wish ''happy birthday Mr. President'' jamaa akajibu ''oooh! The same to you''
Ndio maana yake. Matatizo ya umeme yanachangiwa kwa viongozi na watendaji kutojua Kiingereza kwa sababu wanaingizwa mikenge kwenye mikataba na majadiliano ya mikataba ambayo haiendeshwi kisukuma.Hukuwaii kuleta mada kesho unasema Tuna matatizo ya mgao wa umeme sababu ngereja hajui kingereza
Kwel bado tumetawaliwa. Wazir kutojua kiingereza anaonekana kama ametenda dhamb. Mzungu asipojua kiswahil je?. Acha ujinga Ngeleja na wewe tumia Kiswahili.
Siyo lugha yake wala simshangai.mbona hamuwashanga waingereza wanapokosea kiswahili?
Ingilizi ya Tanzania bado kabisa aliyekuwa anajuwa Kiingerza Perfect katika Tanzania yetu ni Baba wa Taifa Mwalim Julius Nyerere waliobakia wanabahatisha na hicho Kiingereza cha machungwa hebu msikilize Baba wa Taifa anavyozungumza kiingerezaLeo nimempata Ngeleja akisoma hotuba, aibu. embu soma zikiza hii.. the the the the..... Lawrence Masha (waziri mambo ya ndani) yuko juu sana kwenye kiingereza
5. Opening speaker Minister William Ngeleja part 2 (International Energy Conference 2009) - YouTube
Ingilizi ya Tanzania bado kabisa aliyekuwa anajuwa Kiingerza Perfect katika Tanzania yetu ni Baba wa Taifa Mwalim Julius Nyerere waliobakia wanabahatisha na hicho Kiingereza cha machungwa hebu msikilize Baba wa Taifa anavyozungumza kiingereza
ha hahahhahahahhahahahha hiyo sitoisahau mbaka nakufaaa...