Kiingereza cha pli lumumba

Kiingereza cha pli lumumba

pongwer

Senior Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
174
Reaction score
26
Niaje niaje wakurungwaaaaaaa......aisee mi nataka kujua hivi kile kiingereza cha yule profesa wa sheria wa kenya PLO LUMUMBA ni kiingereza.

chenye asili ya wapi maana misamiati mingi hata ukisema uchukue kamusi.

Hukuti neno hilo.😀 ipoje hii wakuu
 
Law dictionary utapata!
 
Back
Top Bottom